Mganga wa kienyeji katembea na mke wa rafiki yangu akimdanganya ni jini

Wanawake akili zao ni za kuchomelea, hivi angepungukiwa nini angekausha na siri yake moyoni?

Hata kama shoga ake angetangaza si anakataa tu ushahidi uko wapi kwan ana ujauzito wa mganga hadi aogope? huyo nae ndimu tu.

Mwanaume nae ndimu,mke wako kaipeleka k Kwa mganga unaenda mfata mganga umpeleke polisi ili iweje?

Mijinaume mingine mi k k k tu,unatembea barabarani unanyooshewa kidole "yule jamaa mke wake kaliwa na mganga" aibu mara 1000,

Mambo ya ndoa hebu malizeni chumbani maana kuyatoa nnje ni kutafuta aibu zaidi na zaidi.

Nawapenda wanawake maana akili zao raha sana kwenye utendaji kazi wake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaha
 
Kwa hiyo alitaka jini avae condom?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
% kubwa ya wanawake ni washirikina na ni wajinga sana haiwezekani tatizo la macho mekundu kwa mtoto uende kwa mganga wa jadi. Wengi wao wanapotezwa na marafiki zao,ndomaana wanawake wengine wenye kujielewa hawapendi marafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…