Mganga wa kienyeji na mganga wa jadi.

Mganga wa kienyeji na mganga wa jadi.

Mkubwa Jalala

Senior Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
112
Reaction score
23
Wana lugha naomba munisaidie. Nini tofauti ya mganga wa kienyeji na mmganga wa asili.
 
Mganga wa jadi ni wale walozi,na mganga wa kienyeji ni yule ambaye anatumia dawa za asili lakini haagui(he is not a fortune teller)

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom