Tetesi: Mganga wa Utopolo kiboko eti anapambana na kafara ili wapangiwe Asec

Tetesi: Mganga wa Utopolo kiboko eti anapambana na kafara ili wapangiwe Asec

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Wiki nzima hii mganga wao utopolo anahaha kuhakikisha wanapangiwa na Asec ambao kwao ndio wanaona wanaweza kupambana nao, wao hawataki mamelodi wala petro wala Mwarabu, wao wanatambika ss hv na kuroga kila kona ili drawa iwapeleke kwa Asec.

Sisi hatuangalii sura, kama tumemweza Wydad we are sure hakuna wa kumuogopa.
 
Wiki nzima hii mganga wao utopolo anahaha kuhakikisha wanapangiwa na Asec ambao kwao ndio wanaona wanaweza kupambana nao, wao hawataki mamelodi wala petro wala mwarabu, wao wanatambika ss hv na kuroga kila kona ili drawa iwapeleke kwa asec.

Sisi hatuangalii sura, kama tumemweza Wydad we are sure hakuna wa kumuogopa.

Cc: Kuna Bwana ameanzisha nyuzi anajiita Muite

huyu Jamaa kaandika Eti Simba Wanataka Kupangiwa Sijui Petro atletic

Anahaha Kuiharibu simba Ili Yanga Apangiwe Asec!

Ameapa Lazima Jangwani wapangiwe Asec halafu Simba apangiwe Mamelodi hili Amejihakikishia Kabisa lazima lifanyike

Cc: Muite
 
Wiki nzima hii mganga wao utopolo anahaha kuhakikisha wanapangiwa na Asec ambao kwao ndio wanaona wanaweza kupambana nao, wao hawataki mamelodi wala petro wala mwarabu, wao wanatambika ss hv na kuroga kila kona ili drawa iwapeleke kwa asec.

Sisi hatuangalii sura, kama tumemweza Wydad we are sure hakuna wa kumuogopa.
Fikra za watanzania bwana. Ingekuwa uchawi ni mpira basi nchi za Afrika zingeshabeba world cup
 
Yanga akipangwa na Asec safari yake itakua imeishia hapo.
 
Fikra za watanzania bwana. Ingekuwa uchawi ni mpira basi nchi za Afrika zingeshabeba world cup
Muulize msemaji wa utopolo kilichomfanya azimie, na bado anadaiwa ailipe damu maana alichoropoka
 
Wachawi katika uchawi wao... Tz timu inayoongoza kuwa na matahira na wajinga ni Simba?.
 
Cha ajabu hizi stori huzisikii zikisemwa na WanaYanga... Bali husemwa na majirani wachawi na wanga wa ukoloni
 
Kweli simba ni timu ya wajinga 🙌 unaamini uchawi kwenye mpira? Ko Toka uhuru nyie wachawi wamewasaidia nini popote?
 
👇🏿
 
Attachments

  • 8A2ECE02-AA08-420D-A12D-9100942A00E9.jpeg
    8A2ECE02-AA08-420D-A12D-9100942A00E9.jpeg
    283.6 KB · Views: 2
Kwa uandishi wako, natamani nikuone upoje maana sio kwa ujinga huu unaoandika.
 
Wiki nzima hii mganga wao utopolo anahaha kuhakikisha wanapangiwa na Asec ambao kwao ndio wanaona wanaweza kupambana nao, wao hawataki mamelodi wala petro wala Mwarabu, wao wanatambika ss hv na kuroga kila kona ili drawa iwapeleke kwa Asec.

Sisi hatuangalii sura, kama tumemweza Wydad we are sure hakuna wa kumuogopa.
Hivi huyu jamaa kuna hata thread moja ameweza kujadili kitu cha maana? Hoha zake ni mambo ya ushirikina tu. Pathetic.
Modeeators please acheni ku promote upuuzi kama huu. Jaribu kuruhusu thread zenye kujadili mambo ya maana.
Inaonyesha moderators ni watu wa Simba kwa sababu threads zite za kupuuzinni za mashabiki wa Simba. Please stop this nonsense.
 
Back
Top Bottom