Mgao Kisheria Na Mke Wangu Utakuwaje Hapa?

Mgao Kisheria Na Mke Wangu Utakuwaje Hapa?

mjombajona

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
262
Reaction score
50
Napenda kuuliza kwa wanasheria kama mimi ni mwajiriwa wa kampuni na nilikopeshwa nyumba na kampuni 2002 na baadaye mwaka 2005 nikamuoa mwanamke aliyenikuta ndani ya nyumba hiyo na nimeshaanza kukatwa deni.Miaka kumi baadaye yaani 2012 deni limekwisha, nyumba ninaimiliki kwa 100%.

Sasa maelewano hamna tunataka kuachana kila mtu apewe chake. hatukuzaa mtoto - hiyo nyumba itakuwaje mgao wake? Take into account kuwa mimi nilianza kulipa deni yeye hajaolewa lkn limeisha tuko naye.
 
Hyo nyumba ndyo mnaishi na mkeo(matrimonial house)?
 
Imekula kwako, hiyo ni nyumba ya ndoa ana haki 50-50% share unless you prove by balance of probability kuwa alichangia less than 50%.
 
Hyo nyumba ndyo mnaishi na mkeo(matrimonial house)?

hata ingelikuwa sio matrimonial house, as long as ulimuoa ukamshirikisha kwa aina moja au nyingine kwenye nyumba hiyo, ni mali ya ndoa. She deserves 50% of the share- inclination of the court is 50% until you prove otherwise!
 
Haya mambo ya kugawana kila kitu pindi unapoachana na mkeo yatatufanya kuzaa ovyo ovyo na wanawake watakosa wanaume. Hivi mke kama kafanya kosa la msingi na anakiwa kubwaga manyanga hapo inakuwaje?
 
Mali yoyote aliyojipatia mwanandoa kabla hujaoa au kuolewa ni mali yako. Huyo mwanamke hana chake hapa. Mali mtakayopata pamoja mkiwa mmeoana ni matrimonial property na mtagawana kwa share mahakama inaona inafaa kulingana na mchango wa kila mmoja.
 
Si ondoka tu kwenye nyumba umwachie huyo mwanamke, unataka akaishi wapi baada ya miaka 10 ya kuishi humo?
 
Back
Top Bottom