Mie naona safi tu.
Ila wakisema wanataka kununua mitambo ya DOWANS basi tule nao sahani moja hadi kieleweke. Hapa itabidi CHADEMA kama kweli wanatutakia mema, basi tuwaone sasa. Hapa itabidi kama Mwakyembe anataka kujiosha madhambi yake, basi na agome tumuone. Kama Sita. Zito na wengine wanataka kuwa Watanzania wazalendo, kazi sasa ianze.
Heri tudumu kwenye GIZA HADI UCHAGUZI. Labda watu wa Dar wataanza kuona umuhimu wa kuwa na vyama vya upinzani. Inasikitisha Dar pamoja na kuwa na wasomi wengi, CCM wameshika hatamu.
SAY NO TO DOWANS. Wiki lijalo nabadilisha sahihi yangu. Ngoja nipekue sentenzi nzuri inayopinga
Dowans.
CCM LONDON: Mnasemaje kuhusu hili? CCM Moscow je?