Mgao mkali wa umeme Tanzania

Tugome,tutumie solar na generator tuone,
 
Umeme unakatwa saa 1 au 2 asubuhi unarudi saa 6 usiku. Huu mgao mkali kupata kutokea, kwanini isiwe saa walau 8 kwa siku?
Vp tena mbona tuliambiwa na Magufuli tuna ziada ya umeme? Au haikuwa kweli?!
 
Huyu mama nchi ilishamshinda lakini hataki kuukubali ukweli.Ashukuru tu watanzania in wavumilivu sana.Ingekuwa nchi nyingine wasingekubali kuvulia haya mateso na wangekuwa wameshamtoa madarakani hata kwa nguvu
Sisi tuna tabia vumilivu**chini serikali *sikivu
 
Huyu mama nchi ilishamshinda lakini hataki kuukubali ukweli.Ashukuru tu watanzania in wavumilivu sana.Ingekuwa nchi nyingine wasingekubali kuvulia haya mateso na wangekuwa wameshamtoa madarakani hata kwa nguvu
Sio wavumilivu ni wajinga wasiojua haki zao za msingi.. haiwezekani mtu unakatwa kodi mpka tozo afu bado basic services kutoka serikarini uzipate kwa kuunga unga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…