Kaplizer
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 720
- 582
Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita.
Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha nzuri na huduma mbovu.
Saluni na biashara nyingi za umeme zimekufa.
Msaada wenu Mods Uzi huu uwafikie walengwa maana maumivu ni makali mno na wakazi wa hayo maeneo ni mashuhuda..