Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita.
Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha nzuri na huduma mbovu.
Saluni na biashara nyingi za umeme zimekufa.
Msaada wenu Mods Uzi huu uwafikie walengwa maana maumivu ni makali mno na wakazi wa hayo maeneo ni mashuhuda..
Huh? Kwani maji kule bwawani yameisha, au mvua zimeijaza matope?
Ufafanuzi tafadhali. Maana juzijuzi hapa tulikuwa na umeme unaoweza kusambazwa EA yote na hata kuuzwa Misri, Ethiopia na Sudani, na na hata nchi ya Ulaya kama Moroko.