BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Huu mgao wa umeme unaoendelea kwa kasi, umesababisha wengine tutumie simu za mkononi kuangalia mpira, jambo ambalo linatugharimu sana sisi wapenzi na watazamaji wa mpira wa miguu. Vifurushi vimepanda bei, mafuta yamepanda bei, in short maisha kwa ujumla yamepanda juu.
So, Mgao unaoendelea wa umeme, ni furaha kubwa kwa Mitandao ya Simu, na bado wanaendelea kupandisha bei vifurushi vyao.
So, Mgao unaoendelea wa umeme, ni furaha kubwa kwa Mitandao ya Simu, na bado wanaendelea kupandisha bei vifurushi vyao.