BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
+Diesel/PetrolFuraha zaidi kwa wauza jenereta na solar
Initial cost huwa ni kubwa.. Na wabongo tumezowea kununua kwa ndondondo na si chururuWeka Solar achana na TANESCO
π π π π Mengine, la wiki unanunua kila sikuBundle pekee linalo expire kwangu ni bundle la sms..
Akuπ π π π Mengine, la wiki unanunua kila siku
Initial cost huwa ni kubwa.. Na wabongo tumezowea kununua kwa ndondondo na si chururu
Mwenzio analalamikia kukosa kuona mpira kwenye TV kisa kukatwa kwa umeme, na si kuchaji simuKama kuchaji mbona bei ya kawaida tu...Unanunua panel ya 15W na Battery ya 10MhA.
Ukipita madukani vitaa vya sola vimetapakaaFuraha zaidi kwa wauza jenereta na solar