Mgao wa tigopesa vipi

MZAWA JF

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
4,491
Reaction score
3,996
Hivi karibuni kampuni ya tigo ilitangaza kuwa itatoa gawio la faida kwa wateja wake waliotumia huduma ya tigopesa kwa kipindi fulan. naomba anayeelewa hii ishu atujuze manake mm nasubiri mshiko tu.
 
Kweli watujuze maana hatuelewi aise

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ila mm nilikuwa sijui ilo swala aisee'km wanafanya hivyo aise itakuwa bomba sana aise.
 
ni kweli,walianza na mawakala na mimi kama wakala nilipata gawio zuriii tu...I think tigo ss wanaelekea pazuri.
 
"Tigo Pesa inawalipa wateja wake wote faida kulingana na salio walilohifadhi,tuma WEKEZA kupokea au CHANGIA kuweka faida hiyo kwenye mfuko wa jamii kwenda 15514"
mimi wamenitumia meseji hiyo hivi punde ndo nasubiri itakuweje
 
ni kweli,walianza na mawakala na mimi kama wakala nilipata gawio zuriii tu...I think tigo ss wanaelekea pazuri.

Basi ni vzr ngoja nisubiri mgao manake nimefanya transaction za tigopesa karibu 40m japo mm sio wakala cjui ntapata ngapi kwn mgao
 
biashara n matangazo tigo tangu waseme ivyo najua wadau kibao watakuwa wame nunua line za tigo na kujisajil na tigopea mm cna hkika ya hilo ila nafany biashar mm yan niseme nakupa gawio ktik faida niliyopata cdhan
 
Salio jipya ni Tsh 1,547. Umepokea Tsh. 67; Jina la wakala TIGOPESA WEKEZA; kumbukumbu No. CI140912.1659.A06938. Tigo Pesa inawalipa wateja wake wote faida kulingana na salio walilohifadhi. Tuma WEKEZA kupokea au CHANGIA kuweka faida hiyo kwenye mfuko wa jamii kwenda 15514.
 
Kwa ugao huo ni wa asilimi 4% sasa hiyo inakuwaje ni kwa balance uliyonayo wakati unasema wekeza au inakuwaje
 
Kwa ugao huo ni wa asilimi 4% sasa hiyo inakuwaje ni kwa balance uliyonayo wakati unasema wekeza au inakuwaje

Account yangu ilikuwa na shilingi 11,050/=, nikatumiwa shilingi 21/=. Hata sielewi wanatumia vigezo gani!
 
okay nimesoma kwenye site yao hajasema kivile ila wana kokotoa kwa kutumia salio lililobaki kila leo na kwa kuwa wamekubaliana na Benki kuu inawezekana itakuwa wanatumia ile daily money market rate ya Benki kuu na wanalipa kwa robo mwaka kutoka na salio lako la kila siku sio jumla ya mihamala ulivyonya ila salio kwa habari kwa kina kutoka site ya tigo BOFYA HAPA
 
tigo safi sana wamenitumia 8,900 leo sikuamini mpaka nilivyoenda kuitoa...
 
Endelea kuwa mbishi watu wanavuta pesa ..inategemea na salio lililokuwa kwenye akaunti yako ya Tigo pesa toka mwaka 2012..ni kweli na hakuna uongo jamaa wanatoa pesa.
 
Mimi pia nimepokea 3650 juzi sasa kama hujatuma wekeza kwenda namba ..... Unategemea wakutumie tu? You will never win a lotery if you didnt buy a ticket
 
Wameajiliwa na Tigo, wajinadi humu jamvini, lakini hakuna ukweli wowote,.
waacheni wapige kelele .
 
Kampuni zote za cm za bongo huwa siziamini.

Ni majizi wakubwa hawa jamaa
 

me mbona wameniongezea buku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…