Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Iombee sana Tanganyika.
Tanganyika haijawahi kuingia kwenye mgao wa umeme sababu ya "kurekebisha miundombinu".
Sababu pekee huko nyuma zilikua ni maji kupungua, Megawatt kuwa chache.
Leo hii tuna bwawa la nyerere Megawatt zaidi ya 3000 mpaka zingine zinataka kuuzwa nje, lakini kwa mara ya kwanza tumeingia kwenye mgao sababu ya miundombinu ya umeme. Mungu tusamehe sana!
Hapo awali umeme ulikua unazimwa kwa siku kurekebisha miundombinu, sasa mgao wakati ambao tumeshaambiwa kuwa tunaweza kuuza umeme nje ya nchi.
Kuna dhambi zingine tukisema shetani ametusababishia kwa hakika Mungu atamtetea Shetani.