Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Jiji hili shughuli nyingi za uchumi zinategemea nishati hii ya umeme kukosekana kwa umeme kunaenda kumuathiri mwananchi moja kwa moja kwanzia mama ntilie, wauza juice, kazi za kulanda mbao,magarage,wenye biashara za saloon na barbershop hizi ndio biashara pendwa jiji hili na zimetapakaa kila mtaa.
Mgao huu ukiendelea kwa muda mrefu CCM wajiandae kupoteza ushawishi mkubwa tayari kanda ya ziwa hawana tena habari na CCM.
Mgao huu ukiendelea kwa muda mrefu CCM wajiandae kupoteza ushawishi mkubwa tayari kanda ya ziwa hawana tena habari na CCM.