Mgao wa umeme: Tumeambiwa mitambo, je mafundi tunao?

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Walitwaliwa miongoni mwetu, tumesoma nao katika vyuo vyetu.

Je, wafanyakazi na mafundi wetu wa TANESCO wana uwezo na weledi wa kuiendesha, kuitunza na kuikarabati miundo mbinu ya umeme?

Au nao wana mchango wao katika janga hili la mgao wa umeme kama ukame na mitambo?
 
Tatizo la umeme siyo la mtu. Ni la mfumo.

Kwa kauli hii tusahau tatizo la umeme kuwa litakuja kumalizika chini ya ccm.
 
Mkuu mbona unapata tabu kuelewa- MFUMO maana yake nini? Nilidhani- mitambo+ ukame+ watumishi inaweza kuwa sehemu ya mfumo?
 
Walitwaliwa miongoni mwetu, tumesoma nao katika vyuo vyetu.

Je, wafanyakazi na mafundi wetu wa TANESCO wana uwezo na weledi wa kuiendesha, kuitunza na kuikarabati miundo mbinu ya umeme?

Au nao wana mchango wao katika janga hili la mgao wa umeme kama ukame na mitambo?
Wapo
 
Mkuu mbona unapata tabu kuelewa- MFUMO maana yake nini? Nilidhani- mitambo+ ukame+ watumishi inaweza kuwa sehemu ya mfumo?
Hapana. Mfumo maana yake walafi ccm ndiyo chanzo cha tatizo.

Bila ulafi wa ccm hakuna mgawowa umeme hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom