Mkuu mbona unapata tabu kuelewa- MFUMO maana yake nini? Nilidhani- mitambo+ ukame+ watumishi inaweza kuwa sehemu ya mfumo?Tatizo la umeme siyo la mtu. Ni la mfumo.
Kwa kauli hii tusahau tatizo la umeme kuwa litakuja kumalizika chini ya ccm.
WapoWalitwaliwa miongoni mwetu, tumesoma nao katika vyuo vyetu.
Je, wafanyakazi na mafundi wetu wa TANESCO wana uwezo na weledi wa kuiendesha, kuitunza na kuikarabati miundo mbinu ya umeme?
Au nao wana mchango wao katika janga hili la mgao wa umeme kama ukame na mitambo?
Hapana. Mfumo maana yake walafi ccm ndiyo chanzo cha tatizo.Mkuu mbona unapata tabu kuelewa- MFUMO maana yake nini? Nilidhani- mitambo+ ukame+ watumishi inaweza kuwa sehemu ya mfumo?