Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Sema taarifa hazijakufikia, sio kimya kimya.Hapo vip!!
Huku maeneo ya Ngulelo,Kimandolu sekei n.k umeme umekuwa unakatwa kuanzia saa 8 nane mchana mapaka siku inayofuatwa.
Kitu ambacho wananchi wenzangu wanalalamika ni kutopewa taarifa ili wapambane na hali ya hilisi kwasababu kuna watu wanategemea umeme kuingiza kipato.
Mfano wafanyabiashara wa samaki na nyama wanategemea umeme kuifadhi bidhaa zao zisiharibike.
Tunaomba TANESCO muache madharau..
...hata huku mtoni Kijichi wilaya ya Temeke hali ndo hiyo hiyo. Yani ikifika saa tatu asubuhi kila siku wanakata umeme, bila taarifa yoyote.. Inaboa sanaHapa Sinza Dsm kuna ka dalili cha hiyo harufu
Tafuteni taarifa, kwa tabia hii ndio nyie mkiitwa kwenye vikao vya watoto shule hamuhudhurii mpaka jumba bovu limwangukie mwanao....hata huku mtoni Kijichi wilaya ya Temeke hali ndo hiyo hiyo. Yani ikifika saa tatu asubuhi kila siku wanakata umeme, bila taarifa yoyote.. Inaboa sana
Acha dharau ww mbona mgao upo na inajulikana au unadhani wote humu hawaelewiTafuteni taarifa, kwa tabia hii ndio nyie mkiitwa kwenye vikao vya watoto shule hamuhudhurii mpaka jumba bovu limwangukie mwanao.
As long as upo connected na Tanesco hakikisha una namba za huduma kwa wateja.
Sijakataa kwamba kuna shida ya upatikanaji wa umeme, hoja iliyotolewa ni kuwa hakuna taarifa yoyote juu ya hili. Kuna mtu amekwenda Tanesco kuuliza? Kifurushi chako cha simu kikiisha isivyo lazima uwapigie customer care, je unamawasiliano ya customer care services za Tanesco? Dharau sio! Utabaki hewani hivyo hivyo.Acha dharau ww mbona mgao upo na inajulikana au unadhani wote humu hawaelewi
Ninachoona hapa Ni watu wamemiss enzi za mzee wako Edoo wa RichMavocco....Hata hapa Mbeya kuna viashiria kwa mbali. Kwa mfano leo Jumamosi asubuhi walikata na jioni mida ya saa 10 pia. But hali siyo serious sana coz wakikata hawachukui muda wanarudisha. Lakini niwaombe tu watanzania wenzangu tuwe wavumilivu.
Lukobe ni noma, siku mbili hakuna umeme,bora kua nzia jana kuna nafuuHuku Morogoro yaaani ni kero kwa wiki mbili maeneo mengi tu umeme umekuwa ni shida wanaweza kata hata siku 2 bila taarifa na hata leo nilipo tumeshinda bila umeme
Sawa RCRo nimekupataSijakataa kwamba kuna shida ya upatikanaji wa umeme, hoja iliyotolewa ni kuwa hakuna taarifa yoyote juu ya hili. Kuna mtu amekwenda Tanesco kuuliza? Kifurushi chako cha simu kikiisha isivyo lazima uwapigie customer care, je unamawasiliano ya customer care services za Tanesco? Dharau sio! Utabaki hewani hivyo hivyo.
Nyamagana tumeshazoeaHapo vip!!
Huku maeneo ya Ngulelo,Kimandolu sekei n.k umeme umekuwa unakatwa kuanzia saa 8 nane mchana mapaka siku inayofuatwa.
Kitu ambacho wananchi wenzangu wanalalamika ni kutopewa taarifa ili wapambane na hali ya hilisi kwasababu kuna watu wanategemea umeme kuingiza kipato.
Mfano wafanyabiashara wa samaki na nyama wanategemea umeme kuifadhi bidhaa zao zisiharibike.
Tunaomba TANESCO muache madharau..
Sema taarifa hazijakufikia, sio kimya kimya.
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KATIZO LA DHARURA-TANESCO MKOA WA ARUSHA
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Arusha,linawataarifu wateja wake kuwa,Kutakuwa na matengezo ya dharura katika kituo chetu kikubwa cha kupooza na kusambaza umeme Njiro kama ifuatavyo:-
Tarehe: 24/02/2021
Siku: Jumatano
Muda: 19:00 Jioni- Saa 22:00 usiku
Feeder: Industrial 3,Themi 1,Sakina na M5
Sababu Matengenezo ya dharura katika katika kituo chetu kikubwa cha kupooza na kusambaza umeme Njiro ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme
Maeneo yanayoathirika Moshono,chekereni, boma siara,suye,baraa, olorieni,kokoriko, baadhi ya maeneo ya kijenge,Njiro PPF, Sunflag factory, Ngaramtoni Seliani, Ngaramtoni NMB, stand ya zamani Ngaramtoni, sokoni Ngaramtoni, Kimynaki, visima vya maji,Olkokora,mbuga nyeupe, Njiro nane nane,Njiro SDA, Chuo cha Uhasibu, ESAMI, Njiro kwa Tondi, Double B, Kikwakwaru A, Sunflug quarters, Njiro complex, Kambini, world vision, TBC,FFU ,Sekei yote, Olgilai, Ngiresi,Bangata, Midawe, Engokareti, Kwa mbotela, Songota, Olgilai kimeo, na baadhi ya maeneo ya jirani .
Ungozi unaomba radhi sana kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Kwa taarifa yoyote ya dharura tafadhali wasiliana nasi kupitia namba za simu zifuatazo:
Tanesco Arusha dawati la dharura, 0272610120 na 0758174343
Call centre: 0768985100 & 022194400
Huduma kwa wateja Arusha: 0737 894000
Imetolewa na : Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa wateja
TANESCO- Arusha
24/02/2021
...Asante mkuu kwa ushauri, but nishawapigia na majibu yao ni kuwa wanafanya maintenance..Lakini kiustaarabu hata kama ni maintanance inafanyika, kama wateja tuna haki ya kujulishwa in advanceTafuteni taarifa, kwa tabia hii ndio nyie mkiitwa kwenye vikao vya watoto shule hamuhudhurii mpaka jumba bovu limwangukie mwanao.
As long as upo connected na Tanesco hakikisha una namba za huduma kwa wateja.