Mgao wa umeme umerudi Dar es Salaam?

Mgao wa umeme umerudi Dar es Salaam?

Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
2,621
Reaction score
4,322
Maeneo mengi ya Dar es Salaam kwa sasa yanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, umeme umekuwa ukikatika kwa masaa kadhaa huku kukiwa hamna taarifa yoyote kutoka kwa wahusika.

TANESCO mtuweke wazi ili tunavyopanga ratiba zetu na ninyi tuwajumuishe na mipango yenu ya kukata umeme.
 
Nchi ya Ili mradi liendee ......

Kuna siku c mbowe Wala lissu atasimama kuitisha maandamano Bali mioyo ya watanzania itakapochoka mambo CCM na taasisi zake wanayoyafanya zidi ya wa Tz ndio itakuwa mwisho ya haya yt ..

Muda n rafiki mzuri tuache uzungumzee .
 
Kazi iendelee ni aibu taifa lilipata uhuru miaka 60 ilio pita bado linajadili umeme na maji.
 
Si mgao upo tangu January? Au uliisha lini mpaka uanze tena?
 
Mvua kidogo tu, umeme unakatika!!
 
Au ndiyo hiyo wanavyobadirisha nguzo na kuweka za zege

Ova
 
Kuna ka mgao fulani ka chini chini sio mchezo
 
Back
Top Bottom