Mgao wa umeme unaoendelea unasababishwa na nini?

Mdomo koma nisije nikatukana nikalishwa ban
 
Inasikitisha sana kuona bado kuna mgao wa umeme wakati tumeambiwa maintenance imekamilika na mvua zimeshajaza mabwawa, sasa huu mgao unaoendelea unasababishwa na nini?
Mgao wa umeme wapi? Sijaona ukikatika Kilimanjaro wiki ya 4 sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…