Mgao wa vifaa vya kinga ya COVID 19 unafikirisha

Mgao wa vifaa vya kinga ya COVID 19 unafikirisha

Montserrat

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
10,938
Reaction score
14,745
Nimesoma recent tweet ya Kigogo "mgao wa vifaa vya kinga ya corona". Nimeshindwa kuelewa kwanini mkoa mmoja mdogo anapotoka bwana mkubwa umepewa upendeleo? Tunarudi nyuma sana.
Tafuta recent tweet ya Kigogo uone mwenyewe.
 
nani atafute? si uiweke hapa wewe uliyetuletea ubuyu wa zenji
 
Charity begins at home!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Napata picha warembo kama huyo wa kwenye avatar watakuwepo kufika december mwaka huu kweli, sijui imekuwaje swali hililikanijia kichwani,
Hivi watabaki warembo wa aina gani watakaochaguliwa kuingia 2021?

Mtakaokuwepo mtutumie hata tupicha tu wakuu. I hope nitakuwepo niwarushie mivideo mjionee hali halisi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo ile ya Jack Ma ..? Kama ni hiyo sawa maana tangu wapewe hapa Dar ndiyo vifo vimeongezeka.
 
Back
Top Bottom