Nimesoma recent tweet ya Kigogo "mgao wa vifaa vya kinga ya corona". Nimeshindwa kuelewa kwanini mkoa mmoja mdogo anapotoka bwana mkubwa umepewa upendeleo? Tunarudi nyuma sana.
Tafuta recent tweet ya Kigogo uone mwenyewe.
Napata picha warembo kama huyo wa kwenye avatar watakuwepo kufika december mwaka huu kweli, sijui imekuwaje swali hililikanijia kichwani,
Hivi watabaki warembo wa aina gani watakaochaguliwa kuingia 2021?
Mtakaokuwepo mtutumie hata tupicha tu wakuu. I hope nitakuwepo niwarushie mivideo mjionee hali halisi