makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,620
- 5,260
unamnunulia demu wako cm,mwanaume mwenzio anamnunulia vocha"HUU NI MHAWANYO WA MAJUKUMU,Unamlipia demu wako ada ya chuo,mwanaume mwenzako anamlipia kodi Hostel"HUO NI MUINGILIANO WA BIASHARA.unamnunulia demu wako chupi,mwanaume mwenzio anamvua,UO NI MGAWANYO WA MAJUKUMU,Unamuomba demu wako mfanye mapenzi anakukatalia,Mwanaume mwenzako anaombwa na demu wafanye mapenzi tena jamaa anaombwa mpaka alale,huu ni UPUMBAVU.