Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Haya maeneo yana ndugu wa Imani ya Kiislamu wengi na ni maeneo tulivu mazuri kuishi.
Buguruni kwa mnyamani
Tandale yote
Manzese yote
Ilala
Magomeni
Kinondoni
Mwananyamala
Temeke
Mburahati
Tandika
Mbagala
Mabibo
Vingunguti
Kigogo
Boko
Buza
Tabata 50
Chanika 50
Na Haya maeneo yana ndugu wa Imani ya Kikristo wengi na ni maeneo tulivu mazuri kuishi.
Sinza
Mwenge
Mbezi Beach
Oysterbay
Baadhi ya Masaki
Baadhi ta Msaani
Goba
Ununio
Tabata 50
Ukonga
Chanika 50
Kijitonyama
Kunduchi
Kimara
.
Hayo nliyoandika 50 maana yake ni nusu kwa nusu.
na pamoja na hayo ni vizuri zaidi kufanya ibada na itampendeza zaidi Mungu 🐒Haya maeneo yana ndugu wa Imani ya Kiislamu wengi na ni maeneo tulivu mazuri kuishi.
Buguruni kwa mnyamani
Tandale yote
Manzese yote
Ilala
Magomeni
Kinondoni
Mwananyamala
Temeke
Mburahati
Tandika
Mbagala
Mabibo
Vingunguti
Kigogo
Boko
Buza
Tabata 50
Chanika 50
Na Haya maeneo yana ndugu wa Imani ya Kikristo wengi na ni maeneo tulivu mazuri kuishi.
Sinza
Mwenge
Mbezi Beach
Oysterbay
Baadhi ya Masaki
Baadhi ta Msaani
Goba
Ununio
Tabata 50
Ukonga
Chanika 50
Kijitonyama
Kunduchi
Kimara
.
Hayo nliyoandika 50 maana yake ni nusu kwa nusu.
Hakuna kabila limetajwa.Sema hayo maeneo uliotaja asilimia kubwa ni wachaga ndo wenye ukristo wao , hayo maeneo mengine ni wandengereko na wazalamo ndo mwenye usilamu wao
Tuliobakia ni wapagani
Kabisa.na pamoja na hayo ni vizuri zaidi kufanya ibada na itampendeza zaidi Mungu 🐒
uhaini tena?Sio takwimu rasmi sio? Sheria yao mpya ipo mzee, UHAINI nje nje!
Lione hili zombie halioni ht aibu, wachaga? Huko siyo Moshi we ngedere, acha ushamba wa Kishimundu. Hv nyie washamba mna funza kwenye akili zenu? Kwa hiyo baada ya kufika Dsm ukaona ni ya kwenu? Mnaumwa! Dsm ina kila kabila, hao washamba wa Kishimundu hawafiki ht 5% ya watu wote. Ktk watu nimewadharau ni hili kabilaSema hayo maeneo uliotaja asilimia kubwa ni wachaga ndo wenye ukristo wao , hayo maeneo mengine ni wandengereko na wazalamo ndo mwenye usilamu wao
Tuliobakia ni wapagani
kwahiyo unataka kiuniambia maeneo hayo ya ndugu katika imani huwezi kupata kitimoto? mbona kipo kingi tu?Haya maeneo yana ndugu wa Imani ya Kiislamu wengi na ni maeneo tulivu mazuri kuishi.
Buguruni kwa mnyamani
Tandale yote
Manzese yote
Ilala
Magomeni
Kinondoni
Mwananyamala
Temeke
Mburahati
Tandika
Mbagala
Mabibo
Vingunguti
Kigogo
Boko
Buza
Tabata 50
Chanika 50
Na Haya maeneo yana ndugu wa Imani ya Kikristo wengi na ni maeneo tulivu mazuri kuishi.
Sinza
Mwenge
Mbezi Beach
Oysterbay
Baadhi ya Masaki
Baadhi ta Msaani
Goba
Ununio
Tabata 50
Ukonga
Chanika 50
Kijitonyama
Kunduchi
Kimara
.
Hayo nliyoandika 50 maana yake ni nusu kwa nusu.
Mnafanya ibada huku mnadhurumu Uchaguzi na kubambikia watu kesi hovyona pamoja na hayo ni vizuri zaidi kufanya ibada na itampendeza zaidi Mungu 🐒
kila nafsi itaonja umauti gentlemanMnafanya ibada huku mnadhurumu Uchaguzi na kubambikia watu kesi hovyo
Bwana wee nazungumzia miaka ya 80s -90s, habari ya wahudumu naijulia wapi, kwanza bar hizo hazikuwa na malaya, mbwisi ilikuwa panachezwa kamari enzi hizo, mchezeshaji mzee Ubwa, kuna siku alipita akitangazia maeneo ya Tandale watu waje washuhudie anataka kumkaza mchaga hadharani kisa hataki kumlipa hela zake za pango la biashara. Mchaga alivyosikia alikimbia mazima. Hiyo mzee alikuwa mtaa jirani hapa Chemchem.Haya maeneo yana ndugu wa Imani ya Kiislamu wengi na ni maeneo tulivu mazuri kuishi.
Buguruni kwa mnyamani
Tandale yote
Manzese yote
Ilala
Magomeni
Kinondoni
Mwananyamala
Temeke
Mburahati
Tandika
Mbagala
Mabibo
Vingunguti
Kigogo
Boko
Buza
Tabata 50
Chanika 50
Na Haya maeneo yana ndugu wa Imani ya Kikristo wengi na ni maeneo tulivu mazuri kuishi.
Sinza
Mwenge
Mbezi Beach
Oysterbay
Baadhi ya Masaki
Baadhi ta Msaani
Goba
Ununio
Tabata 50
Ukonga
Chanika 50
Kijitonyama
Kunduchi
Kimara
.
Hayo nliyoandika 50 maana yake ni nusu kwa nusu.
Wewe Chalii, bangi ya Kwa Mromboo imegoma kabisa kukupatia roho ya ustaarabu. Wewe kila sehemu ni kutoa tu mapovu kama nyumbu aliye jeruhiwa na simba.Lione hili zombie halioni ht aibu, wachaga? Huko siyo Moshi we ngedere, acha ushamba wa Kishimundu. Hv nyie washamba mna funza kwenye akili zenu? Kwa hiyo baada ya kufika Dsm ukaona ni ya kwenu? Mnaumwa! Dsm ina kila kabila, hao washamba wa Kishimundu hawafiki ht 5% ya watu wote. Ktk watu nimewadharau ni hili kabila