Mgawanyo wa majimbo Tunduru

Mgawanyo wa majimbo Tunduru

Mdau1000

New Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Kumekuwa na mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi hasa ya ubunge kwa kuzingatia vigezo vilianishwa na serikali
Kihoja kimejitokeza katika Halimashauri ya Tunduru ambayo ina wakazi takriban 400k, wabunge, madiwani na hata viongozi wa Halmashauri wameacha kutekeleza mchakato huo kwa kigezo kimoja tu ambacho ni idadi ya watu lakini cha kusikitisha wilaya ya jirani ambayo ni nyasa ambayo ukubwa wake ni mdogo kuliko Tunduru, idadi yake ya watu inakadiliwa 190k leo tarehe 15 march 2025 kikao cha RCC kinakaa na kuwajadili ili wapewe jimbo la 2 la uchaguzi na katika kamati wale wabunge kutoka Tunduru ambao walipuuzia huu mchato na wao ni miongoni ya wajumbe

Kubwa zaidi ni wasomi na wadau mbali mbali wa kisiasa wamefika juu na kuwashinikiza wabunge wao waseme wapo kwa ajili ya masirahi yao binafsi au ya Tunduru

Mdala bado unaendelea


TUNDURU dc
 
Back
Top Bottom