Mgawanyo wa majukumu jijini Dar

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Habari za jioni?

WABONGO WANAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DARES-SALAAM KAZI KWELI IPO
DAR bwana

"Wizi" MBAGALA
"umbea" MWANANYAMALA
"mapenzi" KIGAMBON
"vibaka" KARIAKOO
"majivuno" MASAKI
"majungu" TANDALE
"ushamba" BOKO
"ustaarabu" POSTA
"Ulevi" MANZESE
"chumaulete" MWEMBE CHAI
"utajiri" IKULU
"utapeli" UBUNGO
"uchafu" ILALA
"uzururaji" TEGETA
"elimu" KISUTU
"kujiskia" SINZA
"Uswahili" TEMEKE,
"ukimwi" BUGURUNI
"limbwata" KIGOGO
"uchawi" GONGO LA MBOTO,
"Mbwembwe" TANDIKA,
"ushoga" MAGOMENI,
"uchangudoa" KINONDONI,
"kula nguruwe" KIMARA
"kula sadaka" TABATA
"maji taka" MABIBO
"pombe kali" MBEZI
"supu mbovu' VNGUNGUTI
'usalama' KITUNDA
Jamani DAR. wewe kati ya hizo upo mtaa gani?
 
Mimi nipo manzese
 
Umesahau uuza unga, utoto wa mjini na ushoga hapo ni kinondoni
 
Sisi wa makongo juu sifa zetu zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…