RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,432
Nina swali kwa wale wanaojua historia vizuri. Maana mi bado sijajua kwanini katika Mabara haya ya dunia. Kila bara lina watu fulani wenye asili moja. Mfano Afrika Kwanini asilimia 90% ya bara zima ni watu weusi na ilitokea vipi bara hili likawa na watu weusi pekee na kwa wingi. Halafu hapo hapo bara jingine lina watu wenye rangi tofauti na sisi. Mfano Asia, North america na ilikuwaj watu hawa wakawa katika eneo moja pekee
Kitabu ambacho nakijua kinahistoria kidogo ya binadamu alikuwaje ni bible. Ingawa hakina jibu la kwanini watu kuwa na rangi tofauti. Na kinasema kuwa Tulitoka kwa wazazi wa aina moja Adamu na Eva.
Sasa kama Tulitoka huko Je inawezakana mzazi mmoja alikuwa mweupe na mwingn mweusi?. Je inawezekana Kulitokea Genetic Differences??. Je wale malaika ambao walifukizwa mbinguni na Kuja Duniani na kisex na wanawake ndo walisababisha kuwa na Tofauti hizi tulozonazo
Kitu Gani zaidi kilisababisha haya yote?