Mgawanyo wa Watu katika mabara Tofauti

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
Nina swali kwa wale wanaojua historia vizuri. Maana mi bado sijajua kwanini katika Mabara haya ya dunia. Kila bara lina watu fulani wenye asili moja. Mfano Afrika Kwanini asilimia 90% ya bara zima ni watu weusi na ilitokea vipi bara hili likawa na watu weusi pekee na kwa wingi. Halafu hapo hapo bara jingine lina watu wenye rangi tofauti na sisi. Mfano Asia, North america na ilikuwaj watu hawa wakawa katika eneo moja pekee

Kitabu ambacho nakijua kinahistoria kidogo ya binadamu alikuwaje ni bible. Ingawa hakina jibu la kwanini watu kuwa na rangi tofauti. Na kinasema kuwa Tulitoka kwa wazazi wa aina moja Adamu na Eva.

Sasa kama Tulitoka huko Je inawezakana mzazi mmoja alikuwa mweupe na mwingn mweusi?. Je inawezekana Kulitokea Genetic Differences??. Je wale malaika ambao walifukizwa mbinguni na Kuja Duniani na kisex na wanawake ndo walisababisha kuwa na Tofauti hizi tulozonazo


Kitu Gani zaidi kilisababisha haya yote?
 
Ndugu, tz hii elim haipo japo tuliwah kusoma historia na geografia kwa mchanganyiko huu unakupa nin ni nin juu ya swali lako...asili inatengeneza kila kitu ndugu...nature can build and rebuild any thing in this world. Mazingir ndo kila kitu kuanzia vyakula hadi hali ya hewa ndio inatengeneza muonekano wetu na jumla ya mambo yetu yote katika maisha yetu hapa ulimwenguni.
 
RGforever
Kitabu ambacho nakijua kinahistoria kidogo ya binadamu alikuwaje ni bible. Ingawa hakina jibu la kwanini watu kuwa na rangi tofauti. Na kinasema kuwa Tulitoka kwa wazazi wa aina moja Adamu na Eva.

The bible is not a book of history to be taken seriously

Binadamu wa kwanza alikuwa dark skinned na alitoka East africa

Over time akaanza kutembea masafa ya mbali due to his natural curiosity

Alivyofika maeneo ya baridi(northern hemisphere) adaptation moja wapo ilikuwa ni ku loose uweusi na nywele kubadilika na pia hadi average intelligence yake ikaongezeka kutokana na ugumu wa kupata chakula

Continental drift iliendelea na tukapata mabara ya sasa

Watu wa dunia nzima wana share a genetical trait ambayo inapatikana na watu wa east africa

We are the cradle of civilization sio sumerian/babylonian myths on adam and eve
 
The bible is not a book of history to be taken seriously

Binadamu wa kwanza alikuwa dark skinned na alitoka East africa

mmmmh ok


Hapa kidogo Siwezi amini.. maana kwenda kwa mwafrika nchi za baridi kwanza hawezi kubadilika na kuwa mweupe.. ila ukisema nchi za joto sawa naweza kukubali maana joto linamfanya mtu kuwa mweupe. Mfno watu wengi wakija dar baada ya mda huwa weupe

Pili. Haiwezekani physical activities za binadamu zikamfanya abadilike Genetic makeup yake.. atabadilika phenotype sawa ila Genotype hapana. Ndo maana mwafrika hawezi kwenda Australia akarudi mweupe halaf akazaa mweupe tena

Hapa sikubaliani na wewe kabisa

Continental drift iliendelea na tukapata mabara ya sasa

Watu wa dunia nzima wana share a genetical trait ambayo inapatikana na watu wa east africa

We are the cradle of civilization sio sumerian/babylonian myths on adam and eve
 

Kuna siku nilikuwa najiuliza maswali kwa nini binadamu tuna rangi tofauti tofauti, ghafla kwa kuwa nilikuwa natembea sehemu yenye miti, nikajiwa na mawazo kuwa kama ambavyo miti ni tofauti, ndivyo pia ilimpendeza Mungu kuumba watu dizaini tofauti. Kwa mfano pia, hata ukiangalia wanyama, si wanyama wote wanafanana, kuna simba, punda, ng'ombe n.k. ni vivyo pia kwa binadamu.
 

Siku moja nilikuwa nasikiliza redio mawaidha ya Dini, ya Kiislam, Sheikh Kundecha alikuwa akileta hoja juu ya mjadala wa Waafrica chanzo chake ni Nyani/ Sokwe/ Kima. Akasema anachomdhukuru Mungu ni kuwa hao wanyama uzuri bado wapo, na tunawaona hadi leo, ila hamna viashiria vyovyote vya hao wanyama kuwaona wakianza kubadilika kuwaanza kuwa binadamu! Wale Mijusi wakubwa ndo pekee hawapo, tungedanganywa nao ingekuwa angalau, lakini kwa sokwe na jamii zake, wanahistoria wametudanganya mchana kweupe. Ila kwa upande mwingine mi huwa najiuliza kwa nini Adam, Ever/ Hawa, Ibrahim/ Abraham, Musa/ Moses, Yesu/ Issa, Isahac/Isac, Sulueiman/ Solomon, Nuhu, Lutwi na wengine wote chimbuko ni pale Palestine na Mashariki ya kati pekee? Hamna kutoka Amerika, Africa Weusi tii( kwa maana Egypt ni Africa)
 
Maswali mengine hayana majib hapa dunian ila ukifika mbinguni utamuuliza Mungu na atakupa majibu yake.
 

Mkuu ngozi nyeusi ina contain pigment inayoitwa melanin na to be specific type yake moja inaitwa eumelanin

Kazi ya melanin ni ku absorb UV radiation from the sun.The greater the melanin the greater the skin tone

Mfano mzuri ni waafrika wanaopatikana equitorial regions kma nubians skin tone yao ni dark zaid ukilinganisha na waafrika wanaopatikana far from the equator kma kabila la xhosa(angalia skin tone ya marehemu mandela) kwasababu ya utofauti wa UV intensity katika maeneo hayo mawili

Pili. Haiwezekani physical activities za binadamu zikamfanya abadilike Genetic makeup yake.. atabadilika phenotype sawa ila Genotype hapana. Ndo maana mwafrika hawezi kwenda Australia akarudi mweupe halaf akazaa mweupe tena

Hapa hukunielewa vizuri

Nilimaansha change of skin colour na nywele kubadilika ni kutokana na climatic conditions ila average intelligence ni kutokana na ugumu wa kupata chakula ikawabidi watumie akili zaidi

Hapa sikubaliani na wewe kabisa

Cheki hii mkuu

Source:http://en.wikipedia.org/wiki/Continental_drift
 

Majibu ni haya mkuu
http://rationalwiki.org/wiki/How_come_there_are_still_monkeys?
 
East African ni akina nani?kwa sababu more than 90% ya watu tunaojiita east africans tuna tokana na uhamaji kutoka sehemu nyingine.

 
Maswali mengine hayana majib hapa dunian ila ukifika mbinguni utamuuliza Mungu na atakupa majibu yake.

Kuna ukweli Fulani kuwa pamoja na sayansi iliyopo lkn bado kuna maswali mengi ambayo dunia haina majibu na wala haiwezi kuwa nayo......Tusubiri tukionana na Mungu mwenyewe tumuulize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…