Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Huu ni mgawanyo wa fedha za Haki za matangazo ya TV kila timu shiriki hupewa £12.5M kisha ongezeko jingine ni kutokana na idadi ya mechi zilizooneshwa live ,hapa tunaona Liverpool kawashinda wenzake kwa sababu ameongoza kwa idadi ya mechi kuoneshwa 29 na kitita atakachokipata ni £149.5
Walioshuka daraja wanapata hela ndefu kuliko bingwa wa Ujerumani, Italy ,France ,.
Hii ndio EPL
Walioshuka daraja wanapata hela ndefu kuliko bingwa wa Ujerumani, Italy ,France ,.
Hii ndio EPL