Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Na anaepanda daraja kwa kupitia play off anavuna mpunga wa Maana Sema mechi za play off ni ngumu Sana...... Alafu Kuna bonus wa napata ukiweza ku survival kweny Pl msimu wa kwanza......
Ligi Bora anaepanga ni UEFA kaka ndo mwenye Bara la Ulaya sio,watu wenye mapenzi yenu na Vilabu vyenu.Na hii ndio maana ya ligi Bora.
Wanapata 170£ mil
Ligi Bora anaepanga ni UEFA kaka ndo mwenye Bara la Ulaya sio,watu wenye mapenzi yenu na Vilabu vyenu.
Huku mpaka haijulikan bingwa atapata nini,, au atapewa king'amuz cha AzamHivi sisi huku zawadi ya bingwa ishatangazwa?
Huku mpaka haijulikan bingwa atapata nini,, au atapewa king'amuz cha Azam
[emoji23][emoji23]Huku mpaka haijulikan bingwa atapata nini,, au atapewa king'amuz cha Azam
Hiyo ni kwa ligi tu , bila michuano mingine, bila mauzo ya jezi, bila mikataba mbali mbaliIzo hela kibongo bongo zinatamkwa vipi maana sielewi kabisa mbn kama ni kitita kimoja cha usajili wa neymar na haifikiii....
Tatizo wamiliki WA timu wapo kibiasharaHuddersfield huo mpunga akifanya usajili mzuri atasumbua sana kwenye championship msimu ujao.
Tatizo wamiliki WA timu wapo kibiashara
Kwaiyo usajili wa neymar ni pesa nyingi kuliko bingwa wa epl??Hiyo ni kwa ligi tu , bila michuano mingine, bila mauzo ya jezi, bila mikataba mbali mbali
Hiyo hela inatamkwa paundi mil 149.5 narudia ni kwa EPL, tu ambayo amevuna Liverpool ,kufika fainal UCL anaukika wa paund mil 100+ ,