Mgawo wa umeme unaendelea nchini

Mgawo wa umeme unaendelea nchini

kitogele MO

Member
Joined
Jun 29, 2020
Posts
41
Reaction score
39
wanabodi, tunakumbushana tu!
IMG_0930.jpg
 
Delete CCM umeme utakuja,delete CCM maji yatakuja,delete CCM tutachukua kombe la dunia,delete CCM Wanafunzi watakaa kwenye madawati
 
Daaa, ni hatari, naona leo huku nilipo ni zamu yetu. Ogopa sana watu wanaopata nafasi kwa sifa za watu wengine na wao wanalijua hilo
 
Mgao was umeme kuwa historian 2025.... Piga makofi kwa mama
 
Daaa, ni hatari, naona leo huku nilipo ni zamu yetu. Ogopa sana watu wanaopata nafasi kwa sifa za watu wengine na wao wanalijua hilo

Kwetu mgao lazima utupitie daily hamna siku mkata umeme akatusahau
 
Back
Top Bottom