kitogele MO
Member
- Jun 29, 2020
- 41
- 39
Silaha muhimu sana
Daaa, ni hatari, naona leo huku nilipo ni zamu yetu. Ogopa sana watu wanaopata nafasi kwa sifa za watu wengine na wao wanalijua hilo
Kwetu mgao lazima utupitie daily hamna siku mkata umeme akatusahau
Mgao was umeme kuwa historian 2025.... Piga makofi kwa mama