Hapo kwenye vifurushi vya TV hawawezi kupunguza kwa sababu na wenyewe wanakabwa na TRA... Alafu pia kuna wengine wana Solar na Majenereta wanatizama TV bila shida
Nani asiyejua kuwa umeme haupo kwa siku zaidi ya masaa 12?
Kwanini bei za vifurushi vya TV Azam, Star Times, nk, bei ni ile ile?
Kwa biashara ambazo bila umeme ni kuwa hakuna kazi. Kulikoni kodi TRA ni ile ile?
Hizi zimekaa kiwizi wizi kama zile za nyakati za corona. Biashara hamna kodi pale pale.
Enyi Serikali na wauza vifurushi kama hivi vya TV, ni mbingu gani hupokea majizi?
Kwanini haki kwenu ni msamiati usiokuwa na maana?
Andiko Bora ila sijui Kwa Nini halijaenda viralNani asiyejua kuwa umeme haupo kwa siku zaidi ya masaa 12?
Kwanini bei za vifurushi vya TV Azam, Star Times, nk, bei ni ile ile?
Kwa biashara ambazo bila umeme ni kuwa hakuna kazi. Kulikoni kodi TRA ni ile ile?
Hizi zimekaa kiwizi wizi kama zile za nyakati za corona. Biashara hamna kodi pale pale.
Enyi Serikali na wauza vifurushi kama hivi vya TV, ni mbingu gani hupokea majizi?
Kwanini haki kwenu ni msamiati usiokuwa na maana?
Andiko Bora ila sijui Kwa Nini halijaenda viral
Ngoja nichangie kidogo. Biashara ya TV ni kama bando la simu haijalishi simu ina chaja au laa wanachokifanya wao ni kuangalia muda umefika wa bando kwisha wanakata. Ni kweli inakera mmno unalipia TV halafu hakuna umeme malipo yanakuwa yamekwenda bure.
Angalau kwenye kodi nachojua kama utakuwa unaweka rekodi za kibiashara wataangalia mauzo yako au risiti ulizotoa.
nilichosema siyo kwamba simu inakaa muda gani na chaji nimesema nilichomaanisha ni kuwa hata simu ikikata chaji na ukakosa sehemu ya kuchajia haijalishi bando litakuwa linaisha tu sawa sawa na TV nduguSimu inaweza kudumu bila umeme wa TANESCO lakini siyo TV. Hivyo biashara mbili hizi si sawa. Naweza tumia simu 24/7 hata umeme wa TANESCO ukiwa haupo nyumbani hata kwa mwezi mzima. Lakini siyo TV.
nilichosema siyo kwamba simu inakaa muda gani na chaji nimesema nilichomaanisha ni kuwa hata simu ikikata chaji na ukakosa sehemu ya kuchajia haijalishi bando litakuwa linaisha tu sawa sawa na TV ndugu
Kama vipi hata vifurushi vya simu vishuke,
Mda mwingi simu zimezima.