TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 580
Jamani Jk jana alikutana uso kwa uso na raisi wa vyama vya wafanyakazi mbwana Mgaya.kitika muda wa kutambulishwa wageni walitambulishwa wengi lakini hakuna aliyopigiwa makofi au kushangiliwa mbwembwe na walimu,lakini mtambulishaji wageni alivyomwambia raisi lakini pia tunaye ndugu yetu bwana Mgaya nadhani unamfahamu sana huyu bwana..walimu wote walimshangilia kwa shangwe na haieleweki kwa nini walimshangilia sana Mgaya kuliko hata jk.kwa kifupi sherehe haikuwa yenye kuvutia sana kwa kuwa walimu wengi waliojitokeza walikuwa wanyonge tena hata kupiga makofi kwa muheshimiwa rais walikuwa mpaka wahimizwe na mc.na wengine walidhubutu kutoka hata kabda ya hutuba ya rais na wengine walikuwa wakitoka wakati rais akiendelea kuhutubia.da kuna kijana mmoja alikatiza mbele ya viongoz wa ccm wa mkoa akiuza machungwa wakamuita na kutaka kununua machungwa lakini walivyomuona shingon kavaa lebo ya dr slaa wakaacha kununua na yule kijana akawambia acheni mbona nanyi mumevaa nguo za ccm?huyu kijana alishangiliwa sana na watu.Nchimbi alitaka kuingia uwanjani na gar lake lenye picha za kampeni alizuiwa na kuamua kwenda kubadilisha gari,gari la TOT nalo na lilitolewa uwanjani kwasababu ya mabango yake ya ccm.