Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
NiWeweeeeeeeeeeeeeeeee..Ni raha..
Ni
Taarifa ya habari chanel 10 Mgaya kakanusha, kasema kwanza yeye siyo mwanachama wa chadema.
Kama ni kweli, jamaa atakuwa amejifunga goli la kisigino. Unapotetea maslahi ya wafanyakazi, jiepushe na siasa maana wanasiasa wakikujua watakumaliza wewe pamoja na wafanyakazi unaowatetea.
Sidhani kama mtazamo huu ni kweli.
Kwani kama ni hivyo akina Rashid Kawawa, Bruno Mpangala, David Hollela, Peter Kisumo, Barongo, Margreath Sitta na wengine waliopitia katika mgongo wa wafanyakazi (Zambia Chiluba, Kaunda,...... Afrika Kusini Steve Biko, Walter Sisulu,......Poland Wence V, Urusi Lenin, Stalin,.......Germany Karl Max, ..........etc) na kupanda hadi siasa za kitaifa/kimataifa, wangekuwa wamemalizwa siku nyingi na wafanyakazi waliokuwa wakiwatetea pia.....
Kule Muheza mmojawapo wa watu wenye kutaka kugombea kule ni Balozi Andrew Daraja na Mbunge wa sasa Herbert Mntangi. Lakini siku chache zilizopita (kuanzia hii tarehe 19 Mei) kuna tetesi kuwa Katibu wa TUCTA Yusuph Mgaya ambaye alijiwa juu na Rais Kikwete anampango wa kupeleka mapambano yake ya wafanyakazi ndani ya Bunge kwa kugombea huko Muheza kwa tiketi ya Chadema. Kuna vipeperushi inadaiwa vimeenezwa vikimwaga sifa zake huko na wenye nchi yao wanashtuka.
Hata hivyo, kwa sasa Bw. Mgaya hajakiri moja kwa moja kuwa kweli anataka kugombea zaidi ya watu wengine kuwa na wasiwasi huo kwa sababu tu alienda kusalimia nyumbani kwao na kuondoka mapema na hivyo tetesi hizi kuanza.
Stay tuned.
100% Fact.
Duh,
kama kweli atakuwa amewatosa watumishi wa umma. Hata kama aliyokuwa anayatetea yana haki ataonekana alikuwa anatumiwa na hayana msingi. Bad timing bro!
How? una maana Mgaya asipogombea JK atashindwa, sijaona correlation yeyote ya Mgaya kugombea na JK kushinda kwa kishindo.Kukanusha ktk vyombo vya habari mara nyingi ni step ya kwanza kuelekea ktk tendo halisi. Yeye si mwanasiasa angekaa kimya tuli.
Na huyu jamaa akigombea JK atashinda kwa kishindo
Sidhani kama mtazamo huu ni kweli.
Kwani kama ni hivyo akina Rashid Kawawa, Bruno Mpangala, David Hollela, Peter Kisumo, Barongo, Margreath Sitta na wengine waliopitia katika mgongo wa wafanyakazi (Zambia Chiluba, Kaunda,...... Afrika Kusini Steve Biko, Walter Sisulu,......Poland Wence V, Urusi Lenin, Stalin,.......Germany Karl Max, ..........etc) na kupanda hadi siasa za kitaifa/kimataifa, wangekuwa wamemalizwa siku nyingi na wafanyakazi waliokuwa wakiwatetea pia.....
Itakuwa bad news kivipi sijakuelewa, kuwatetea wafanyakazi au kugombea.Hao wote uliowataja waliongoza vyama vya siasa ambavyo ama vilikuwa part of the system kama akina Bruno Mpangala, David Hollela, Peter Kisumo na wengine au waliongoza mapinduzi yaani kuitoa serikali moja madarakani kama vile akina Walesa wa Poland, Chiluba nk.
Ni tofauti sana ni hii ya Mgaya. Kama ni kweli itakuwa ni very bad news kwa wafanyakazi.
How? una maana Mgaya asipogombea JK atashindwa, sijaona correlation yeyote ya Mgaya kugombea na JK kushinda kwa kishindo.
Kwa akili ya watanzania nitakubaliana na wewe lakini katika nchi nyingi mgomo ni haki ya mfanyakazi uwe unamsukumo wa kisiasa, upinzani au chochote kile, kinachotafutwa ni maslahi mazuri ya mfanyakazi haijalishi yameletwa na nani. Hata TANU ilitumia vyama vya wafanyakazi kufanikisha matakwa yake kama TAA, NUTA nk. Mimi nafikiri wafanyakazi hawana akili ndogo kiasi hicho kudhani kwa vile madai yao yanamsukumo wa siasa za upinzani basi wasidai tena au ndiyo sababu ya kumpa kura JK.Hii kitu ipo wazi sana refer nini JK alisema akigombea tu wafanyakazi watakubali kuwa walikua steping stone. Na watakubali kabisa mgomo huo uliandaliwa na chadema na si tucta. Hiyo fact najua mtaikataa lakini
Kwa akili ya watanzania nitakubaliana na wewe lakini katika nchi nyingi mgomo ni haki ya mfanyakazi uwe unamsukumo wa kisiasa, upinzani au chochote kile, kinachotafutwa ni maslahi mazuri ya mfanyakazi haijalishi yameletwa na nani. Hata TANU ilitumia vyama vya wafanyakazi kufanikisha matakwa yake kama TAA, NUTA nk. Mimi nafikiri wafanyakazi hawana akili ndogo kiasi hicho kudhani kwa vile madai yao yanamsukumo wa siasa za upinzani basi wasidai tena au ndiyo sababu ya kumpa kura JK.