Mgeja amlipua Job Ndugai, aitaka Serikali ing'oe jina lake kwenye majengo ya umma

Mzee Mgeja kaamua kujitoa ufahamu.
Ni mwehu na sasa anachunga mbuzi huko Itilima anasema alikuwa Mwenyekiti wa mkoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga.
Hata Joseph Musukuma naye alikuwa Mwenyekiti wa mkoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Geita, ni aina hiyo hiyo ya viongozi wabovu waliovaa mashati ya kijana .
 
Unaweza kudhani kaongea kwa mafumbo kumpiga vijembe Rais lakini ukweli ni kwamba,anamaanisha hivyo.

Yote hayo kosa ni kuikosoa serikali.
 
Mhuni tu huyu. Siasa kwake ni kutafuta fulsa kutajirika. Akikuaga nyumbu mkubwa kumfuata lowassa chadema kutafuta malisho. Halafu ni mjinga tu.
 
Issue ya Ndugai umeonyesha wazi Tanzania ni nchi ya hovyo isiyo na uhuru wa maoni.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ingawa simpendi Ndugai ila kwenye hili kama nchi tupo kwenye mtego mkubwa, Sielewi ikitokea rais akikosea atakosolewa namna gani ilhal nae ni mtu kukosea ni kawaida
 
Hawa ndo Wazee wapumbavu na wapuuzi kwenye Taifa hili
 

Huyu ajamlipua ila kajilipua. Ndugai hakufanya kosa in the sense of kosa per se. Amekosea kwa kuwa yupo chama Kimoja na Bosi Wake. Na maslahi ya chama lazima yawe mbele Kuliko ya mtu binafsi. Hata ingekuwa Act Ni hivyo. Ulaya huku na marekani. Maslahi ya Chama. Ndo Siasa.
 
Huyu alitakiwa arudishe card ,kumuhujumu Rais na mwenyekiti wa chama chako tafsiri yake Ni kwamba una hamu serikali ianguke na chama chako kifail, tunaomba mwenyekiti akashulike nae pamoja na wahuni wenzake chamani,kwenye Hili Ni matamanio yetu tunaoitakia nchi mema Mwenyekiti asisikilize ushauri mwingine....huyu ni wa kuangaliwa kwa umakini
 
Mtanisamehe....ila sijui kwa nini watu wengi wenye tumbo tumbo kama huyu jamaa wanakuwaga wapuuzi sana....very stupid indeed...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…