Wenzetu huko hadi wanatunga vitabu na vitabu vyao vinauzwa japo wanaitwa wanapotoshaji ingawa wengine ni madaktari kabisa na wakati mwengine hadi post zao hufutwa huko mitandaoni ya kijamii, huko youtube video zao hufutwa ila hatujasikia serikali kushughulika nao kama ambavyo huku watu wanataka serikali iwashughulikie.