Mgeni ameingia, Mgenii mgeniii huyu

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
3,185
Reaction score
8,294
Ndugu wakubwa kwa wadogo hodiii humu ndani.Tafadhari nikaribisheni kwa mikono miwili.....kwa wale wa siasa,mimi mrengo wa kati..wale wa music mimi msaaaafi...wa mpira,mimi ni Mbeya city na Man U.AAAAASANTENI
 
Karibu japo u mpinzani na mshindani, Chelsea & Yanga hapa, K 4 real, CDM
 
Karibu sana mkuu(usishangae ukishaingia huku wew ni mkuu tuu)
Hongera kwa kuwa man u na mimi pia ni man u chama la ukweli..
Karibu kwenye special thread yetu ya man u tushauriane mbili tatu.....vip mziki gani??? Live au playback?
Karibu sanaaa
 
Ww ni ke au me?
Yani una dushe au papuchi?
 
Karibu sana JF...Fortunatus
 
Karibu sana mkuu(usishangae ukishaingia huku wew ni mkuu tuu)
Hongera kwa kuwa man u na mimi pia ni man u chama la ukweli..
Karibu kwenye special thread yetu ya man u tushauriane mbili tatu.....vip mziki gani??? Live au playback?
Karibu sanaaa
mimi mziki wote....live na playback....Tandale na Kariakoo....japo Playback inanikosha kwa mapambano yake..........may 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…