Mgeni humu, natokea zangu FB

Mgeni humu, natokea zangu FB

Weka Picha Yako.
Kitambulisho cha Mpiga Kura.
Jina Kamili.
Namba ya Simu.
Mkoa, Wilaya Au Kijiji Utokacho.
Sababu Za Kujiunga JF.

Baada Ya Kukamilisha Hayo Yote Ndipo Tutakufikilia.
 
Weka Picha Yako.
Kitambulisho cha Mpiga Kura.
Jina Kamili.
Namba ya Simu.
Mkoa, Wilaya Au Kijiji Utokacho.
Sababu Za Kujiunga JF.

Baada Ya Kukamilisha Hayo Yote Ndipo Tutakufikilia.
Dah JF raha sana aise
 
niliwahi sikia kuna msanii aliandika herufi (maneno) katika punje ya mchele
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]konki
 
Mh! naona kama bado fb vile
Sawa hujatuambia fb unatumia jina gani?
Haujatuma picha tukutambue?
Haujasema unatoka wapi ni mtanzania au sio?
Umeolewa au la?
Mwanafunzi au?
Jibu kwanza hayo maswali ndo tuendelee na wewe
[/QUOTE]
 
yaleyale ya fb Du!
Weka Picha Yako.
Kitambulisho cha Mpiga Kura.
Jina Kamili.
Namba ya Simu.
Mkoa, Wilaya Au Kijiji Utokacho.
Sababu Za Kujiunga JF.

Baada Ya Kukamilisha Hayo Yote Ndipo Tutakufikilia.
 
Nashukuru ila labda ungenitakia kila la kheri, nionavyo kama nitasepa mazima
 
Nashukuru ila labda ungenitakia kila la kheri, nionavyo kama nitasepa mazima
Haha..!!
JF mbona hamjui kukirimu mgeni jamani, mpaka anasema atasepa mazima seriously??
Hivi niliwafundisha hivyo kweli??
 
sikutegemea haya yakuulizana umezaliwa wapi sijui mweusi au mweupe, ni kama fb kule tunaulizana umekula nini umevaa kiatu gani na na na nionyeshe mtaani kwenu basi, karibuni huku
Haha..!!
JF mbona hamjui kukirimu mgeni jamani, mpaka anasema atasepa mazima seriously??
Hivi niliwafundisha hivyo kweli??
 
Back
Top Bottom