Mgeni huyu ananitesa

Joo imeni pain sana hii ni proboo wewe peyana naye doo ya matatu, mwambie bibi yako ana come soon..., greet cheer leader wa campo
 

Ndugu yangu kwani huna manzi?
Anza kumpa taarifa kwamba manzi yako anatarajia kuja in thw next 2 days. Hopely atasepa kwa aibu before demu wako kufika. Kama huna demu au demu wako yuko mbali tafuta mwanamke yoyote fulani ufanye naye deal fake afanye kama ndio demu wako.
 
Naona jukwaa limevamiwa
Mi nilidhani kuongea tu kumbe hata kuandika hamjui [emoji57]
 
Nimesoma mpk nasahua story imeanzaje, nakumbuka hakulagi sukuma.... Sasa kama hakulagi sukuma mpe nyakyusa atakula.
 
naomba wakuu wa jf wafanye mchakato wa kuweka jukwaa la lugha ya kiswahili (pure)

venye wajuanga uku tz nakuanga silewi
 
naomba wakuu wa jf wafanye mchakato wa kuweka jukwaa la lugha ya kiswahili (pure)

venye wajuanga uku tz nakuanga silewi
Na wewe uwekewe jukwaaa la English ya Muingereza....
 
Nimesoma mpk nasahua story imeanzaje, nakumbuka hakulagi sukuma.... Sasa kama hakulagi sukuma mpe nyakyusa atakula.

hahahaaa yaan uyoo jamaa n shidaah mtu unasoma had kichwa kinaumaa kutafuta tafsili ya hayo ma prooo
 
Mara ulikuja kaa demu sahivi tena ushakuwa dume what's wrong ? Yanllahhhhhhh
 
Don't ever fix ur lips like collagen, say something than ending up apologizing.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…