Yellow donaty
Senior Member
- Jan 16, 2023
- 113
- 271
Hellow
Naitwa yellow donaty nipo mda sana huwa sipendi kuongea mwezangu unaitwa nani?
Naitwa yellow donaty nipo mda sana huwa sipendi kuongea mwezangu unaitwa nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana unaitwa nani?Karibu, huku tunaongea na vidole hivyo utaongea tuu...
Naitwa Donatila aka Mlokole OGAsante sana unaitwa nani?
Tupeane basi hiyo miongozo. 😜😜😜Wanakuja kukupa muongozo
Mimi nampenda yesu akutunzeNaitwa Donatila aka Mlokole OG
Mijadala inayohusu YESU/MUNGU nipo sana...
Kifupi nampenda YESU
Ndio natumia nalipataje?Yellow donaty nina bughatti unatumiaga? 🤔
Sijajua iloUmeolewa?
Akutunze pia, tumtangaze YESU wasiomjua wamjue vile anatenda maajabuMimi nampenda yesu akutunze
Njoo mikocheni kesho saa 1 jioni kanisa la mtakatifu mathew utalikuta hapo. 😜Ndio natumia nalipataje?
Mapenzi tena?Uwe makini sana maana watakufuata PM huko ndio wanakuja...
Matapeli wa mapenzi pia wapo...
NitakuwepoNjoo mikocheni kesho saa 1 jioni kanisa la mtakatifu mathew utalikuta hapo. 😜
Wewe walishakutapeli huko PM?Uwe makini sana maana watakufuata PM huko ndio wanakuja...
Matapeli wa mapenzi pia wapo...
Uwe makini sana maana watakufuata PM huko ndio wanakuja...
Matapeli wa mapenzi pia wapo...
We kaa pale ngoja 😀😀Tupeane basi hiyo miongozo. 😜😜😜
Sawa, 😉 your welcomeNitakuwepo
😎😎😎😎😎. SawaWe kaa pale ngoja 😀😀