THE TRUSTWORTHY
Member
- Oct 28, 2017
- 46
- 18
Nitafurahia sana sana sana kwa kweli, si unajua lazima nionyeshwe njia. Na mimi kwa kuwa ni muhitaji basi muda ninao mkuu. Please ukipata muda nishike mkono unitembeze humu nisije nkapoteaKimsingi ushajiunga tayari Mkuu>>>
Karibu sana JF ukipata muda nitakupitisha mitaa mbali Mbali ya Humu Ndani