mgeni maeneo haya!!

Bladerunner

Member
Joined
Dec 19, 2008
Posts
93
Reaction score
4
Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na ubishi mmoja wa ajabu sana!!!hebu fuatilia haya maongezi..
Mlevi:ule ni mwezi,wewe na akili yako umeona wapi jua likatoka usiku??
Mvuta bangi:haa we ndo chizi kweli,nani kakwambia saa hivi usiku??lile jua ngoja tumuulize huyu jamaa anaekuja??
kwa pamoja:"ee bwanaee eti lile jua au mwezi??"
TEJA(Mvuta unga):"masela mbona mnanirusha stimu,MIMI MGENI MAENEO HAYA NITAJUAJE????"
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…