Mgeni mgeni nipokeeni

Mgeni mgeni nipokeeni

MBUTA2001

Member
Joined
Mar 26, 2021
Posts
19
Reaction score
19
Mgeni mgeni wapendwa naomba kupokelewa.
Japo siyo mgeni JF nimeanza kusoma post miaka 8 au zaidi iliyopita ila sasa nimeamua nijiunge rasmi.
 
Kuna masingo maza wanatafuta fursa humu. Uko tayari
 
😂😂 Pole Mdogo.

Huenda mgeni aliffuruggwa hivyo akajikuta anachanganya madesa. 😂😂
Na kweli itakua alifurugwa hasa😂

Ila wacha nimsubiri aje aseme, labda mgeni wetu alikua na jambo zuri anataka kuniambia half akahisi kashaniambia😁
 
Ila wacha nimsubiri aje aseme, labda mgeni wetu alikua na jambo zuri anataka kuniambia half akahisi kashaniambia😁
Hahahaaaa. Haya ngoja tisubiri tione mdogo. 😀😀
 
Back
Top Bottom