Mgeni mgeni nipokeeni

MBUTA2001

Member
Joined
Mar 26, 2021
Posts
19
Reaction score
19
Mgeni mgeni wapendwa naomba kupokelewa.
Japo siyo mgeni JF nimeanza kusoma post miaka 8 au zaidi iliyopita ila sasa nimeamua nijiunge rasmi.
 
Kuna masingo maza wanatafuta fursa humu. Uko tayari
 
My sis acha tu, na nimestuka kweli maana sijamuelewa kwakweli๐Ÿ˜„
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Pole Mdogo.

Huenda mgeni aliffuruggwa hivyo akajikuta anachanganya madesa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Pole Mdogo.

Huenda mgeni aliffuruggwa hivyo akajikuta anachanganya madesa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Na kweli itakua alifurugwa hasa๐Ÿ˜‚

Ila wacha nimsubiri aje aseme, labda mgeni wetu alikua na jambo zuri anataka kuniambia half akahisi kashaniambia๐Ÿ˜
 
Ila wacha nimsubiri aje aseme, labda mgeni wetu alikua na jambo zuri anataka kuniambia half akahisi kashaniambia๐Ÿ˜
Hahahaaaa. Haya ngoja tisubiri tione mdogo. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ