JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Natumai nitapata ukaribisho timamu toka kwa members wenzangu jumu jamvini, baada ya muda mrefu kuwa mtazamaji sasa nitakuwa mchangiaji pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Haya poa, ila ujifunze kuandika kwa ufasaha kiswahili au kwa lugha tuijuayo na ufuate sheria za humu!!
Unajua kuqoute why?Sawa mkuu.
MeJinsia?
Karibu
Huyo ni big Momas, ni Martin Lawrence.Mbona una avatar ya ke?
Karibu jf
Karibu JfNatumai nitapata ukaribisho timamu toka kwa members wenzangu jumu jamvini, baada ya muda mrefu kuwa mtazamaji sasa nitakuwa mchangiaji pia.
Umejuaje matumizi ya neno Mkuu...[emoji45] [emoji45]Sawa mkuu.
Matumizi ya Me na Ke, imenistua kidogo
Kwa comment hii tayari nimejiridhisha kwamba wewe ni mwenyeji mwenye jina jipya.... tehteehhhHuyo ni big Momas, ni Martin Lawrence.
Hata mimi[emoji23] mgeni anajua kuquote,anajua mkuu na Me anaijua haha hizi ni rejesta za humu pekee ambazo sio rahisi kuzikuta mahali pengine,au hata ukizikuta pengine hazitakua na maana sawa sawa na inavyojulikana humuKaribu JfUmejuaje matumizi ya neno Mkuu...[emoji45] [emoji45] Matumizi ya Me na Ke, imenistua kidogoKwa comment hii tayari nimejiridhisha kwamba wewe ni mwenyeji mwenye jina jipya.... tehteehhh
Mdomo wangu umebaki wazi wallah.... tehteehhhHata mimi[emoji23] mgeni anajua kuquote,anajua mkuu na Me anaijua haha hizi ni rejesta za humu pekee ambazo sio rahisi kuzikuta mahali pengine,au hata ukizikuta pengine hazitakua na maana sawa sawa na inavyojulikana humu
Hivi mgeni ni lazima awe mgeni kwa kila kitu?Karibu JfUmejuaje matumizi ya neno Mkuu...[emoji45] [emoji45] Matumizi ya Me na Ke, imenistua kidogoKwa comment hii tayari nimejiridhisha kwamba wewe ni mwenyeji mwenye jina jipya.... tehteehhh
Hapo sawa, maana nimekuelewa mama... tehteehhhHivi mgeni ni lazima awe mgeni kwa kila kitu?
Kuna ugeni wa kuchangia tu ila mwenyeji sana humu jamvini.