Mgeni mie

Haya poa, ila ujifunze kuandika kwa ufasaha kiswahili au kwa lugha tuijuayo na ufuate sheria za humu!!
 
hello wadau naomba mdaada tafadhali nikitaka kucreate Thread inagoma kabisa sijui tatizo ni nn pls
 
Natumai nitapata ukaribisho timamu toka kwa members wenzangu jumu jamvini, baada ya muda mrefu kuwa mtazamaji sasa nitakuwa mchangiaji pia.
Karibu Jf
Sawa mkuu.
Umejuaje matumizi ya neno Mkuu...[emoji45] [emoji45]
Matumizi ya Me na Ke, imenistua kidogo
Huyo ni big Momas, ni Martin Lawrence.
Kwa comment hii tayari nimejiridhisha kwamba wewe ni mwenyeji mwenye jina jipya.... tehteehhh
 
Karibu JfUmejuaje matumizi ya neno Mkuu...[emoji45] [emoji45] Matumizi ya Me na Ke, imenistua kidogoKwa comment hii tayari nimejiridhisha kwamba wewe ni mwenyeji mwenye jina jipya.... tehteehhh
Hata mimi[emoji23] mgeni anajua kuquote,anajua mkuu na Me anaijua haha hizi ni rejesta za humu pekee ambazo sio rahisi kuzikuta mahali pengine,au hata ukizikuta pengine hazitakua na maana sawa sawa na inavyojulikana humu
 
Mdomo wangu umebaki wazi wallah.... tehteehhh
 
Karibu JfUmejuaje matumizi ya neno Mkuu...[emoji45] [emoji45] Matumizi ya Me na Ke, imenistua kidogoKwa comment hii tayari nimejiridhisha kwamba wewe ni mwenyeji mwenye jina jipya.... tehteehhh
Hivi mgeni ni lazima awe mgeni kwa kila kitu?

Kuna ugeni wa kuchangia tu ila mwenyeji sana humu jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…