Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Karibu, we jinsia gani....na uko wapi?Mambo vipi wanajukwaa? Mimi ni mgeni kabisa humu, nipokeeni kwa mikono miliwi.
Pia ninaleta andiko la kuomba ushauri katika haya maisha.
Mimi mwanaume baba wa watoto watatu.Karibu, we jinsia gani....na uko wapi?
Nipo Dar es salaam kimaishaKaribu, we jinsia gani....na uko wapi?
Nitakupigia kesho mida ya saa nne....Nipo Dar es salaam kimaisha
Ooh kumbe una mke, daaah haya basi sawa tutaona nini cha kufanya, ila karibu sana.....Mimi mwanaume baba wa watoto watatu.
1 binti
2 vijana
Saa nne usiku au asubuhi,utanipigia vipi namba yangu ya simu huna?Nitakupigia kesho mida ya saa nne....
Nitakupigia asubuhi, namba yangu inaishia 420......Saa nne usiku au asubuhi,utanipigia vipi namba yangu ya simu huna?
Namba yangu inaishia na ngapi kama unayoNitakupigia asubuhi, namba yangu inaishia 420......
Sahivi unachat mkeo yukwapi?? Au upo sebleni.....
Nipo sebuleniNitakupigia asubuhi, namba yangu inaishia 420......
Sahivi unachat mkeo yukwapi?? Au upo sebleni.....
Kesho keshoooo ntakupigia ngoja niogeee nna mapovu sabuni inaingia machoniiiiNamba yangu inaishia na ngapi kama unayo
Sawa hakuna tatizo dada anguKesho keshoooo ntakupigia ngoja niogeee nna mapovu sabuni inaingia machoniiii
Poa kaka nashukuru sanaSauti ya mwisho!
Karibuni sana, mimi ndio mtunza hazina wa Jf