binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 960
- Thread starter
-
- #21
Hahaaaah..sasa mgeni unaanza kumtilia shaka tena...wew vip ...kuwa na amani na furaha kwa mgeni wako??Kwa haya majibu namashaka na ugen wako! Isikute ugen wa id tu!
Hahaaaah..sasa mgeni unaanza kumtilia shaka tena...wew vip ...kuwa na amani na furaha kwa mgeni wako??
MADA GANI NDIO HIYO YA HUYO BWANA MPYA ULIYEMPATA AMBAYE HATAKI KUACHA POMBE AMA?Habari zenu waungwa ...mim ni mgeni humu ndani ,,,sijui vizuri jinsi ya kucreate mada kwenye segment ya mahusiano na mapenzi nimeitafuta sana hapa sehem ya create thread siajiona wakongwe wa hii forum nisaidieni,,,,maaan nina mada nzito ya segment tajwa hapo juu..
Salaam..
No privete messagekwa prime minister au ndo unamaanisha nin PM??
MADA GANI NDIO HIYO YA HUYO BWANA MPYA ULIYEMPATA AMBAYE HATAKI KUACHA POMBE AMA?
Na akiacha pombe atamkojoza vip!!
mmh,,kuwni na hofu ya mungu kwenye kujibu ati atamkojoza ?? kauli gani hiyo
Vibint vidogo wapumue wakati ndiyo vyenye pumuzi zaidiC ndiyo haki sawa mnakojozana wote!!
Ndiyo mana wazee wanapenda vibint vidogo ambavyo bado vijajua utamu wa kukojozwa angalau wapumue!!
.
Mana mambo ni haki sawa.
Ukikuwa kidogo kuna kitu utaelewaVibint vidogo wapumue wakati ndiyo vyenye pumuzi zaidi
Asante mkuuUkikuwa kidogo kuna kitu utaelewa
nakuja huko PM kukuelekeza sawa my dearooh,,,tatizo nimekremisha..PM -NI PRIME MINISTER..looo as..nabonyeza wapi ndo nikute hiyo PM