GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Mar 28, 2023 #1 Si mnasema miaka ya nyuma mkiwa katika NGO's kama Watendaji mlikuwa mkiishi na kutembea mno Ulaya na Marekani? Sasa Mgeni Mkubwa wa Wiki hii akitua tu tunataka tuzungumze nae Kiingereza bila msaada wa Script, Kuandikiwa na Mkalimani Kukutafsiria.
Si mnasema miaka ya nyuma mkiwa katika NGO's kama Watendaji mlikuwa mkiishi na kutembea mno Ulaya na Marekani? Sasa Mgeni Mkubwa wa Wiki hii akitua tu tunataka tuzungumze nae Kiingereza bila msaada wa Script, Kuandikiwa na Mkalimani Kukutafsiria.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Mar 28, 2023 #2 Itapendeza sana bila kutumia script. Mwenyeji yuko vizuri sana kukitafuna kiingereza labda kwa wasaidizi wake maana tunawafuatilia sana kuona kama wanaimudu vema hiyo lugha ya kimataifa
Itapendeza sana bila kutumia script. Mwenyeji yuko vizuri sana kukitafuna kiingereza labda kwa wasaidizi wake maana tunawafuatilia sana kuona kama wanaimudu vema hiyo lugha ya kimataifa