MGENI MPYA AMBAE NAPENDA UTANI KWA SANAA YANI HADI NAJICHUKIA NAOMBA USHIRIKIANO WENU.

MGENI MPYA AMBAE NAPENDA UTANI KWA SANAA YANI HADI NAJICHUKIA NAOMBA USHIRIKIANO WENU.

Nurudin Jr

Senior Member
Joined
May 25, 2017
Posts
180
Reaction score
99
Jamani husikeni na kichwa cha habari hapo juu ,Mimi ni member mpya ambae ni mcheshi sana hadi nasahau sehemu zakuwa serious natania so mnivumilie na mnikumbushe mkiniona napuyanga ili nirudi katika msitari na pia wale warembo msiniogope kunifata PM maana nipo single so msisite na nyie kaka zangu tukutane katika post tu maybe itokee dharula ndo tutataftana PM,

Asanteni sana naomba ushirikiano wenu.
 
'mcheshi'
Tuambie ni jambo gani umewahi kujichekesha!!!
 
Nimewahi kuomba njiti za kiberiti ili niwashe data [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mbona unajipa sifa usizokuwa nazo???
Unachekaje kitu kisichoweza kuwachekesha wengine?
Kifupi ulijichekea.
 
Mgeni mpya, unajua na PM!!!
karibu sana pia hongera kwa kuongeza ID mpya hapa JF
 
Mgen ushajua mpaka PM ni wapi embu tuache kwanza
 
Back
Top Bottom