Mgeni mwenyeji

wilo

Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
37
Reaction score
7
Nimeingia tangia jana ila nikaona sio ungwa kama sita ji tambulisha Mimi n ngeni humu jamani
 
umefurahi eenhee ? ntakuja leo kwa PRIME MINISTRY niombe kitu
Huwa tunachanganya hayo maneno mawili; unapotaka kujua mtu ana maumbile gani kienglish ni sex ki kwetu ni jinsi na unapotaka kujua majukumu ya mtu kienglish ni gender na kilugha chetu ni jinsia: tuna tatizo la kutofautisha hizi terms mbili. Kwa hiyo amekujibu ana maumbile ya kike ya kiume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…